MCHANGO WA VYUO VIKUU KATIKA KISWAHILI.

MCHANGO WA VYUO VIKUU VYA KENYA KATIKA KUENDELEZA TAALUMA YA KISWAHILI.Kuna vyuo vikuu nyingi nchini Kenya vinavyofunza Kiswahili. Hivi ni pamoja na vyuo vya kiserikali na zile za kibinafsi. Kupitia kwazo Kiswahili kimepata Kuendelea na hata kuvuka mipaka na hata watu wengi kupata ajira. Wahadhiri wameweza kuajiriwa kila uchao, wanafunzi kupata nafasi ya kuandika nakalaContinue reading “MCHANGO WA VYUO VIKUU KATIKA KISWAHILI.”

Msamiati wa vikembe.

Vikembe ni watoto/wana wa viumbe mbalimbali.Hapa tumechagua baadhi tu ya wanyama ili kuangazia vikembe vyao kama ifuatavyo. Mchwa-Kichuguu Ng’ombe-Ndama Simba-Shimbli Sungura-Kitungule Papa-Kinengwe Kipepeo-Kiwavi Punda na Farasi-Nyumbu Nyuki-Jana Ndege-Kinda Kuku-Kifaranga Nzige-Maige/Funutu/KimatuTunutu Chura/Mbu-Kiluwiluwi Punda-Kihongwe Mdudu-King’onyo Nge-Kisuse Jicho-Kingo Mbwa-Kilebu/Kelbu Nguruwe-Kivinimbi Nyani-Kigunge Nyangumi-Chengo Paka-Kinyaunyau Mbuzi-Kimeme/Kibuli Suri/Chotara-Mtoto kati ya wazazi wawili wenye rangi tofauti.K.m Mzungu na mwafrika. Meza-Saraka/Jarari/Athiari Mamba-Kigwena Farasi-KitekliContinue reading “Msamiati wa vikembe.”

Msamiati wa malipo.

Masrufu-Pesa za kukidhi matumizi ya nyumbani au safarini. Karadha-Mkopo wa muda mfupi usio na riba. Kiinuamgongo/Bahashishi/Pensheni-Malipo anayopewa mwajiriwa mwishoni mwa kipindi chake cha ajira. Koto-Ada ya kumsajili mwanafunzi chuoni. Nauli-Pesa za kusafiria. Kiangazamacho/Kiokozi/Machorombozi-Pesa anayopewa mtu kama ya kuokota kitu na kumrudishia mwenyewe. Riba-Pesa za ziada anazopata mtu kama faida ya kuwekeza benkini/pesa za ziada anazopataContinue reading “Msamiati wa malipo.”

Msamiati wa watu na kazi zao.

Watu katika jamii wana taaluma au kazi mbalimbali wanapopata posho na riziki zao. Mhasibu-Huyu ni mtu anayeweka rekodi za matumizi ya pesa. Sogora-Huyu ni fundi wa kupiga ngoma. Ngariba-Huyu ni mtaalamu wa kupasha wavulana tohara. Mfawidhi-Huyu ni mtu aliyeteuliwa kuongoza shughuli katika kitengo au idara. Mfasiri/mkalimani/mtarujumani-Huyu ni mtu anayeeleza maelezo yaliyosemwa katika lugha moja hadiContinue reading “Msamiati wa watu na kazi zao.”

Uendelezaji Wa Fasihi Simulizi Kupitia Katika Karne Ya 21.

Licha ya kuwa fasihi simulizi imekumbwa na changamoto si haba,kuna hatua ambazo zimepigwa kupitia kwa njia zifuatazo. 1.Hadithi zingali zinatambwa katika jamii fulani hasa vijijini. 2.Vipindi vya utegaji na uteguaji wa vitendawili katika redio,runinga na hata kwenye mitandao ya kijamii. 3.Bado kuna michezo ya kuigiza kwenye redio na runinga.K.m Maria-citizen tv. 4.Miviga kama vile mazishi,harusi,JandoContinue reading “Uendelezaji Wa Fasihi Simulizi Kupitia Katika Karne Ya 21.”