Istilahi za ushairi.

Kuna misamiati mingi ambayo hutumika katika ushairi. Mazda-Hii ni kuongeza silabi katika neno ili kusawazisha idadi ya mizani. Inkisari-Hii ni kupunguza idadi ya silabi katika neno ili kusawazisha idadi ya mizani. Dhamira-Hii ni lengo au nia ya mtunzi wa shairi. Maudhui-Hii ni ujumbe unaojitokeza katika shairi. Utohozi-Hii ni kuswahilisha maneno.K.m Facebook-fesibuku. Tabdila-Hii ni kubadilisha silabiContinue reading “Istilahi za ushairi.”

Ushairi.

Huu ni sanaa inayopambanuliwa kwa mpangilio maalum fasaha na yenye muwala kwa lugha ya mkato,sitiari, picha au ishara katika maandishi, usemi au mahadhi ya wimbo ili kueleza tukio au mawazo. Vitu vivanyounda ushairi katika kiswahili ni kama yafuatayo: 1.Takriri-hii ni mbinu ya kurudia jambo kwa madhumuni fulani.Vina na urari wa mizani ni aina ya takriri.Aidha,Continue reading “Ushairi.”