Sifa Za Mhakiki.

Mhakiki huwa na sifa zifuatazo: Anatakiwa asikuwe mpondaji wa kazi ya watu wengine; asichukue au kusifia tu kazi za waandishi kwa sababu zake binafsi bila ya kuzingatia ukweli wa kazi hiyo. Mhakiki anastahiki awe amesoma kazi mbalimbali za fasihi na sio tu ile anayoifanyia uhakiki ili awe na ujuzi zaidi katika uwanja wa uhakiki. MhakikiContinue reading “Sifa Za Mhakiki.”