Matumizi Ya Lugha.

Matumizi ya lugha ni namna ambavyo wazungumzaji wa lugha hutumia lugha kwa kuzingatia mila, desturi na kaida mbalimbali za jamii inayohusika. Katika mada hii utajifunza mambo ya msingi ya kuzingatia unapotumia lugha. Utaelewa dhana mbalimbali zinazohusishwa na matumizi ya lugha kama vile rejesta, misimu, utatata katika lugha, lugha ya mazungumzo na lugha ya maandishi. MatumiziContinue reading “Matumizi Ya Lugha.”

Matumizi Ya Ki.

Kiambishi ‘Ki’ kinatumika kwa njia mbalimbali kama zifuatazo. Ki ya Masharti.K.m Ukisoma kwa bidii utafaulu maishani. Ki ya kuwakilisha Ngeli ya KI-VI.K.m Kikombe hiki ni safi sana. Ki ya udogo.K.m Kiguo hiki kimechafuka. Ki ya mfanano.K.m Mtoto yule amelala kifudifudi. Ki ya kuonyesha kitendo kinachofanyika kwa wakati mmoja.K.m Mama anakula akiona runinga. Ki ya kukanushaContinue reading “Matumizi Ya Ki.”

Matumizi Ya Kiambishi Na.

Kiambishi ‘na’ hutumika kwa njia tofauti katika sentensi ili kuonyesha maana mbalimbali kama ifuatavyo: Hutumika kuonyesha dhana ya wakati uliopo.K.m Mama anapika chakula. Hutumika kama kiunganishi katika sentensi.K.m Neema na Fadhili wanacheza mpira. Hutumika kuonyesha dhana ya umilikaji.K.m Juma ana kalamu nzuri. Hutumika kuonyesha mtendaji wa kitendo.K.m Mpira huo ulipigwa na Mwadime. Hutumika kuonyesha kauliContinue reading “Matumizi Ya Kiambishi Na.”

Matumizi Ya ‘Kwa’.

‘Kwa’ hutumika kwa njia mbalimbali kama ifuatavyo: Kuonyesha dhana ya pamoja na .K.m Wasichana kwa wavulana walihudhuria mkutano. Kuonyesha kifaa au chombo kilichotumika.K.m Fundi alichota changarawe kwa sepetu. Kuonyesha akisami.K.m Yeye alizoa alama tisa kwa kumi. Kuonyesha uhusiano kati ya mtu/watu na mahali.K.m Nitaenda kwa mwalimu kumtembelea. ‘Kwa’ ya A-unganifu.K.m Kuimba kwa wanafunzi kuwafurahisha walimu.Continue reading “Matumizi Ya ‘Kwa’.”