Mashairi Ya Tarbia.

TAKUENZI MOYONI. Moyoni uwe peke yako, wewe kipenzi cha moyo. Nakupenda pekeako, hakuna mwingine huyo.Ila nasema ni kwako, wengine ni sagamoyo.Pendo letu limoyoni,takuenzi aushini. Kwako mimi sibanduki,chaguo langu la moyo.Kwingine mimi sitaki,ni wewe kipenzi changu.Kama asali ya nyuki, napenda uwe wa kwangu.Pendo letu limoyoni, takuenzi aushini. Hatimaye lije zaa, matunda mazuri pendo.Mahari tapelekea, yenye mazuriContinue reading “Mashairi Ya Tarbia.”

Aina za mashairi.

Kuna aina mbalimbali za mashairi kwa kuzingatia kigezo cha mishororo. Tathmina-Hili ni shairi lenye mshororo mmoja katika kila ubeti. Tathnia-Hili ni shairi lenye mishororo miwili katika kila ubeti. Tathlitha-Hili ni shairi lenye mishororo mitatu katika kila ubeti. Tarbia-Hili shairi lenye mishororo minne katika kila ubeti. Takhmisa-Hili ni shairi lenye mishororo tano katika kila ubeti. Tasdisa-HiliContinue reading “Aina za mashairi.”

Aina za bahari ya mashairi.

Kuna aina mbalimbali za mashairi kwa kuzingatia kigezo cha bahari. Sakarani-Hili ni shairi lenye bahari zaidi ya moja. Ukara-Hili ambalo vina vya kipande kimoja hubadilika kutoka ubeti moja hadi mwingine ilhali vina vyaupande mmoja havibadiliki kutoka ubeti mmoja hadi mwingine. Ukaraguni-Hili ni shairi ambalo vina vya kati na vile vya mwisho hubadilika kutoka ubeti mmojaContinue reading “Aina za bahari ya mashairi.”