Isimujamii.

Isimujamii– ni tawi la isimu (elimu ya lugha) linalochunguza namna lugha inavyotumika katika jamii na uhusiano baina yake. Tawi hili huzingatia matumizi ya lugha katika mazingira tofauti; aina mbali mbali za lugha na mazingira yake; uhusiano kati ya lugha na utamaduni wa jamii inayoitumia. Istilahi za isimujamii Isimu – ni mtalaa ambao huchunguza, huchanganua naContinue reading “Isimujamii.”

Istilahi za isimujamii.

Kuna misamiati mbalimbali inayotumika katika isimujamii kama zifuatazo. Sajili-Hii ni muktadha mbalimbali au mitindo maalum ya lugha inayotumika katika mazingira mbalimbali. Lafudhi-Hii ni upekee wa mtu katika kutumia lugha maalumu. Lahaja-Hivi ni lugha ndogondogo zinazochipuka kutoka lugha moja kuu.K.m Kiswahili kina lahaja nyingi kama vile kiamu,kimtangata,kipate, ngozi n.k Lingua Franka-Hii ni lugha inayoteuliwa miongoni mwaContinue reading “Istilahi za isimujamii.”