Uendelezaji Wa Fasihi Simulizi Kupitia Katika Karne Ya 21.

Licha ya kuwa fasihi simulizi imekumbwa na changamoto si haba,kuna hatua ambazo zimepigwa kupitia kwa njia zifuatazo. 1.Hadithi zingali zinatambwa katika jamii fulani hasa vijijini. 2.Vipindi vya utegaji na uteguaji wa vitendawili katika redio,runinga na hata kwenye mitandao ya kijamii. 3.Bado kuna michezo ya kuigiza kwenye redio na runinga.K.m Maria-citizen tv. 4.Miviga kama vile mazishi,harusi,JandoContinue reading “Uendelezaji Wa Fasihi Simulizi Kupitia Katika Karne Ya 21.”

Fani Za Lugha Katika Fasihi.

Fani ni jinsi mambo yanavyosemwa katika fasihi.Yaani ni kipengele katika uwanja wa fasihi kinachojihusisha na umbo la nje la fasihi.Fani za lugha katika fasihi ni kama zifuatazo: 1.Takriri-Hii ni mbinu ya kurudiarudia sauti,silabi,neno au maneno kwa nia ya kusisitiza jambo fulani.K.m Awali ni awali hakuna awali mbovu.Neno ‘awali’ limerudiwa. 2.Taswira-Hii ni picha ya fikra zinazojengekaContinue reading “Fani Za Lugha Katika Fasihi.”

FASIHI.

Fasihi ni sanaa iwe ya uandishi au mdomo inayowasilisha ujumbe unaolenga maisha ya binadamu Kiufundi kwa kutumia mbinu anuwai za lugha.Hueleza hisia za mtu kwa kutumia vielelezo vyenye dhana maalum. 1.Fasihi ni sanaa kwa kuwa matukio hupangwa kiufundi ili yaweze kuwasilishwa vema kwa jamii husika. 2.Usanaa wa fasihi pia hujidhihirisha katika jinsi mambo yanavyoelezwa.Kuna ufundiContinue reading “FASIHI.”