Fani za Uandishi/Kisanaa.

Hizi ni mbinu za Kiufundi zitumikazo na mwandishi/msimulizi wa kazi yoyote ya fasihi ambayo humlazimisha msomaji/hadhira kuisoma hadithi nzima ili kuzitambua.Baadhi yazo ni kama vile: Sadfa-Hii ni hali ambapo matukio hutendeka kwa pamoja bila ya kupangwa. Kisengerenyuma-Hapa mwandishi hurejelea matukio yaliyofanyika nyuma.Hivyo humlazimu kubadilika wakati kuyasimulia tena. Kisengerembele-Hapa mwandishi husimulia mambo yatakayotokea siku za halafuContinue reading “Fani za Uandishi/Kisanaa.”

Fani Za Lugha Katika Fasihi.

Fani ni jinsi mambo yanavyosemwa katika fasihi.Yaani ni kipengele katika uwanja wa fasihi kinachojihusisha na umbo la nje la fasihi.Fani za lugha katika fasihi ni kama zifuatazo: 1.Takriri-Hii ni mbinu ya kurudiarudia sauti,silabi,neno au maneno kwa nia ya kusisitiza jambo fulani.K.m Awali ni awali hakuna awali mbovu.Neno ‘awali’ limerudiwa. 2.Taswira-Hii ni picha ya fikra zinazojengekaContinue reading “Fani Za Lugha Katika Fasihi.”