Dhana Ya Fonetiki.

Fonetiki ni taaluma inayojishughulisha na jinsi sauti yo yote inavyotolewa au inavyopatikana. Hii ni sayansi huru ambayo inatumia nadharia za sayansi halisi kama vile fizikia, uhandisi, baiolojia, nk. na kufaidi matokeo ya kiutafiti ya taaluma hizi. Mathalani, ili mwanafonetiki aelewe jinsi ala za sauti zinavyofanya kazi wakati wa utolewaji wa sauti, atafaidika na maelezo yaContinue reading “Dhana Ya Fonetiki.”

Dhana Ya Jamii Lugha.

Kwa mujibu wa Mekacha (2011) dhana ya jamii lugha imetafsiriwa kwa mitazamo mbalimbali, hata hivyo wataalamu wengi wanakubaliana na maana ya jumla kuwa jamii lugha ni watumiaji wa lugha wanaoishi katika eneo moja ambao hubainishwa kwa mahusiano yao ya kuendelea kutumia aina fulani ya lugha tofauti na watumiaji wengine wa lugha hiyohiyo. Licha ya fasiliContinue reading “Dhana Ya Jamii Lugha.”

Dhana Ya Sintaksia.

Hii ni taaluma inayoshughulikia uchunguzi wa mpangilio na uhusiano wa vipashio vya sentensi. Katika kiwango hiki tunachunguza jinsi ambavyo maneno ya kategoria mbalimbali zinazokubalika na zenye maana. Maneno ya kategoria mbalimbali ni kama vile nomino,vitenzi,viwakilishi,vivumishi,vielezi n.k Maneno haya hayafuatani kiholela;huungana kwa kufuata sheria za kiisimu ili kujenga sentensi zinazokubalika na zenye maana katika lugha. NominoContinue reading “Dhana Ya Sintaksia.”

Dhana ya Fonolojia.

Fonolojia ni taaluma inayoshughulikia uchambuzi wa mfumo wa sauti zinazotumika katika lugha fulani mahususi.Kiwango hiki cha lugha huchunguza uamilifu wa sauti mahususi zinazotumika katika lugha maalumu. Kipashio cha chini kabisa cha Fonolojia ni fonimu.Fonimu ni sauti anuwai zinazotumika kuunda maneno katika lugha ya kiswahili.Aidha , kipashio hiki hutumika kutofautisha maneno ya lugha.K.m hapa na haba.Continue reading “Dhana ya Fonolojia.”

Dhana Ya Fonetiki.

Hichi ni kiwango cha lugha kinachoshughulikia sauti za lugha ya mwanadamu kwa ujumla. Taaluma hii kuchunguza namna sauti anuwai ama za irabu au konsonanti hutamkwa kinywani mwa mwanadamu. Katika fonetiki, mwanaisimu huchunguza viungo vinayoshiriki katika utamkaji wa sauti yaani foni.Hujibu maswali yafuatayo: 1.Sauti za lugha ya mwanadamu ni ngapi na ni zipi?Sauti hizo ni nyingiContinue reading “Dhana Ya Fonetiki.”