Aina za Shamirisho/Yambwa.

Shamirisho ni nomino katika sentensi inayoonyesha/inayoashiria mtendwa/kitendwa na mtendewa/kitendewa.Kuna aina tatu za shamirisho. Shamirisho Kipozi/Yambwa Tendwa. Shamirisho Kitondo/Yambiwa/Yambwa Tendewa. Shamirisho Ala/Kitumizi. Shamirisho Kipozi.Hii ni nomino inayoathiriwa na kitenzi katika sentensi kwa njia ya moja kwa moja.K.m Mchezaji alipiga mpira.Shamirisho Kitondo.Hii ni nomino isiyoathirika na kitendo kwa njia ya moja kwa moja.K.mMtoto alimjengea mama nyumba.Shamirisho Ala.HiiContinue reading “Aina za Shamirisho/Yambwa.”

Aina Za Ndege.

Dudumizi/Shundi/Gude/Tipitipi-Huyu ni aina ya ndege asiyejenga kiota. Kanga-Huyu ni kuku wa porini aliye na madoadoa meupe. Kasuku-Ndege aliye na rangi nyingi za kupendeza na hodari wa kuiga. Kigotago-Ndege ambaye hupigapiga mti kwa mdomo ili kupata vidudu. Hondo-Ndege aliye katika jamii moja ya shundishundi aliye na maji ya kunde na hupaza sauti kwa kawaida yake. Chozi-NdegeContinue reading “Aina Za Ndege.”

Aina za Viambishi.

Kuna aina mbalimbali ya viambishi kama ifuatavyo. Viambishi awali-Hivi ni viambishi vinayopachikwa/kuambatanishwa kabla ya mzizi wa kitenzi.K.m a-na-pik-a.a-na ni viambishi awali. Viambishi tamati-Hivi ni viambishi vinayopachikwa/kuambatanishwa baada ya mzizi wa vitenzi.K.m a-na-kul-a.a ni kiambishi tamati. Dhima ya viambishi.Viambishi Awali. Huonyesha nafsi, wakati na idadi.K.m a-na-chek-a.Hapa tunapata nafasi ya tatu, umoja, wakati uliopo,hali ya kuendelea. HuonyeshaContinue reading “Aina za Viambishi.”

Aina za vihusishi.

Vihusishi ni aina ya maneno yanayoonyesha uhusiano baina/kati ya neno moja na jingine.Kuna aina mbalimbali za vihusishi kulingana na utendakazi wao.Dhima za vihusishi ni kama zifuatazo. Hutumika kuonyesha uhusiano kiwakati.K.m Wanafunzi walienda darasani baada ya kusikiliza hotuba ya mwalimu mkuu. Hutumika kuonyesha uhusiano wa mahali.K.m Walitembea kando ya barabara. Hutumika kuonyesha uhusiano wa umilikaji.K.m WageniContinue reading “Aina za vihusishi.”

Aina za viunganishi.

Viunganishi ni aina ya maneno yanayotumika kuunganisha neno moja na jingine, sentensi moja na nyingine au kujaribu kuonyesha uhusiano kati ya dhana mbili au zaidi.Kuna aina mbalimbali za viunganishi kulingana na utendakazi wao katika sentensi. Vya kuonyesha sababu-Mifano ni kama vile madhali, maadamu,kwa minajili ya, kwa kuwa,ili, kwani, kwa vile n.k.K.m Mwanafunzi huyu hakuja shuleniContinue reading “Aina za viunganishi.”

Aina za virai.

Kirai ni kipashio cha kimuundo kinachoundwa kwa neno moja au zaidi ambacho hakina muundo wa kiima na kiarifu.Kuna aina mbalimbali za virai kama zifuatazo. Kirai Nomino(KN)-Hiki ni kifungu cha maneno ambacho neno lake kuu ni nomino.K.mVijana kwa wazee walihudhuria mkutano wa jana. Kirai Kitenzi (KT)-Hiki ni kifungu cha maneno ambacho neno lake kuu ni kitenzi.K.mContinue reading “Aina za virai.”

Aina za viwakilishi.

Kiwakilishi ni neno linalotumika/linalosimamia nomino.Katika Kiswahili kuna viwakilishi mbalimbali kama zifuatazo. Viwakilishi vya sifa-Hutumika kwa niaba ya nomino kuonyesha sifa yake.K.m Vitamu vimeliwa. Viwakilishi vya A-Unganifu-Hutumika kwa niaba ya nomino kwa kuonyesha kinachomiliki nomino hiyo.K.m Cha mkufu mwanafu hali. Viwakilishi vya nafsi-Hutumika kwa niaba ya nafsi.Mifano yazo ni mimi, sisi, wewe, nyinyi,yeye,wao.Sisi tulikula tukashiba. ViwakilishiContinue reading “Aina za viwakilishi.”

Aina za mashairi.

Kuna aina mbalimbali za mashairi kwa kuzingatia kigezo cha mishororo. Tathmina-Hili ni shairi lenye mshororo mmoja katika kila ubeti. Tathnia-Hili ni shairi lenye mishororo miwili katika kila ubeti. Tathlitha-Hili ni shairi lenye mishororo mitatu katika kila ubeti. Tarbia-Hili shairi lenye mishororo minne katika kila ubeti. Takhmisa-Hili ni shairi lenye mishororo tano katika kila ubeti. Tasdisa-HiliContinue reading “Aina za mashairi.”

Aina za bahari ya mashairi.

Kuna aina mbalimbali za mashairi kwa kuzingatia kigezo cha bahari. Sakarani-Hili ni shairi lenye bahari zaidi ya moja. Ukara-Hili ambalo vina vya kipande kimoja hubadilika kutoka ubeti moja hadi mwingine ilhali vina vyaupande mmoja havibadiliki kutoka ubeti mmoja hadi mwingine. Ukaraguni-Hili ni shairi ambalo vina vya kati na vile vya mwisho hubadilika kutoka ubeti mmojaContinue reading “Aina za bahari ya mashairi.”

Aina za vitenzi.

Kitenzi ni neno linalofafanua jinsi kitendo fulani kilivyofanyika.Pia hufahamika kama kiarifa.Kuna aina mbalimbali za vitenzi kama zifuatazo:Kitenzi Kikuu/Halisi.(T)Hiki ni kitenzi kinachosheheni ujumbe muhimu wa kiarifu cha sentensi.K.m Baba anafyeka.Majukumu ya vitenzi vikuu ni: Kuonyesha hali ya tendo Kuonyesha nafsi Kueleza tendo lililofanywa na mtenda/mtendwa Kuonyesha wakati tendo lilipofanyika Kuonyesha kauli mbalimbali za tendo Kitenzi Kisaidizi.(Ts)HikiContinue reading “Aina za vitenzi.”