Dhana ya silabi.

Jumanne, (2014) Silabi ni kipashio cha kifonolojia kinachohusu matamshi ambacho kwacho sauti za lugha hutamkwa mara moja na kwa pamoja kama fungu moja la sauti. Feng Shengli, (2003) Silabi ni mpangilio wa fungu la sauti za kutamkwa. David Crystal, (2003) Silabi ni sauti moja au zaidi inayowakilisha kifungu kimoja cha sauti katika lugha. Massamba naContinue reading “Dhana ya silabi.”

Historia Ya Mwendazake Prof.Ken Walibora.

Marehemu Ken Walibora Waliaula alizaliwa kati ya mwaka 1964 na 1965,januari sita katika eneo LA Baraki kaunti ya Bungoma kama kitinda mimba.Yeye pamoja na familia yake walihamia eneo la Cherenganyi,kitale,Kaunti ya Tans nzoia.Katika umri wa miaka sita,Walibora aligundua kuwa na majina mawili,Kennedy na George ila akalichagua Kennedy kutokana na umaarufu wa rais wa Marekani wakatiContinue reading “Historia Ya Mwendazake Prof.Ken Walibora.”

Aina na mbinu za tafsiri.

Tafsiri ya neno kwa neno. Hii ni tafsiri ambayo mofimu na maneno hufasiriwa yakiwa pwekepweke kwa kuzingatia maana zake za msingi bila kujali muktadha wala muundo wala utamaduni wa lugha lengwa. Mpangilio wa mofimu na maneno wa lugha chanzi haubadiliki,pia tafsiri hii hulenga tu kupata maana ya kimsingi au ya kamusi. Katika tafsiri hii matiniContinue reading “Aina na mbinu za tafsiri.”

Aina za Tafsiri.

Aina za tafsiri za tafsiri ni kama zifuatazo: Tafsiri ya fasihi Tafsiri ya riwaya Tafsiri ya tamthiliya Tafsiri ya ushairi Tofauti ya tafsiri za kifasihi na zisizo za kifasihi. Tafsiri za matini za kisayansi/kiufundi. Matini za kisayansi au za kiufundi ni zile matini zinazotumia msamiati maalum, mfano matini za tiba, uhandisi, elektroniki, sayansi ya kompyutaContinue reading “Aina za Tafsiri.”

Uhusiano baina ya tafsiri na lugha.

Taaluma ya tafsiri ni taaluma kama taaluma nyingine ambazo haziwezi kujitegemea bila kuhusiana na taaluma nyingine. Kama mwili wa mwanadamu unavyofanyakazi ambapo viungo vyake vyote vinategemeana katika kukamilisha majukumu ya kuona, kutembea, kula, kulala, kuongea n.k. Taaluma hii ya tafsiri ina uhusiano mkubwa na taaluma nyingine kama: o Ukalimani Tafsiri ni uhawilishaji wa mawazo yaliyoContinue reading “Uhusiano baina ya tafsiri na lugha.”

Sifa za Fonimu.

Fonimu ina sifa zifuatazo: Kila fonimu ina sifa zake za kifonolojia zinazoonesha uamilifu wa fonimu hiyo katika lugha maalumu. Kila fonimu hushiriki kikamilifu katika ujenzi wa maneno na kutofautisha maneno yenyewe. Fonimu moja haina maana kwa kuwa si kiashiria cha kiashiriwa chochote. Ukibadili fonimu moja katika neno basi maana ya neno hilo itabadilika. Kila fonimuContinue reading “Sifa za Fonimu.”

Dhana Ya Fonolojia.

Fonolojia ni nini?Kwa mujibu wa Mugulu (1999) akimrejelea Fudge (1973) anasema kwamba fonolojia ni kiwangokimojawapo cha lugha fulani kilicho na vipashio vidogo zaidi kuliko vipashio vingine vyote vya lugha.Vipashio vya kifonolojiani fonimu na alofoni zake.Dosari ya fasili hii ni kwamba haijafafanua kiwango kipi cha lugha ambacho kinahusika na fonolojia kwani lughainaviwango mbalimbali.Massamba (2010) anasema kuwaContinue reading “Dhana Ya Fonolojia.”

Dhana Ya Fonimu.

FonimuNi kipashio kidogo kabisa cha kifonolojia kinachoweza kubadili maana ya neno. Hivyo basi,fonimu ina maana, kwa kuwa inaweza kubadili maana ya neno inapobadilishwa nafasi katikaneno husika. Foni chache zilizoteuliwa kutoka katika bohari la sauti ili zitumike kwenye mfumowa sauti za lugha mahususi ndiyo fonimu. Hivyo, fonimu ni chache ikilinganishwa na foni. Idadiya fonimu za lughaContinue reading “Dhana Ya Fonimu.”

EmmatheMadeupMom

Mindfulness. Mental Health. Motherhood.

Lead Me The Way

Inspiring. Encouraging. Empowering.

Dr. Eric Perry

Psychology to Motivate | Inspire | Uplift

TIMU MAFANIKIO

Japhet Simon

swahilimax

blogu hii inahusu mawanda mapana ya maswala ibuka katika lugha ya Kiswahili na fani zake. Kimsingi, swahilimax hushughulikia mchipuko wa mambo muhimu kwa utendeti , tafsiri za istilahi zinazotumika katika maisha ya kila siku kwenye vyombo vya habari, kanisani, nyumbani, sokoni na kwenye taasisi za elimu.

swahilimedia

Siasa,Michezo,Burudani,Udaku,Muziki na Video Mpya kwa Lugha ya kiswahili

ASHIKI WA KISWAHILI

Ashiki wa Kiswahili

Info - Kenya

Kenya, Tanzania, Burundi, Rwanda, Uganda, Love, mapenzi, Afya, Mazoezi ya mwili, Pesa, Elimu, Christianity, Ukristo, Money, Sleep, Fitness, politics, Biashara,health, Kiswahili, lugha, english, Sheng, Nairobi, Dar el salaam

WordAds

High quality ads for WordPress

MBUKUZI

House of informations

kiswahiliashirafu

Uhondo wa lugha ya Kiswahili

Discover

A daily selection of the best content published on WordPress, collected for you by humans who love to read.

The Atavist Magazine

Uhondo wa lugha ya Kiswahili

Longreads

The best longform stories on the web

The WordPress.com Blog

The latest news on WordPress.com and the WordPress community.