Skip to content

Category: Korona

Riek Machar Apatikana na Korona.

Makamu wa rais wa kwanza wa Sudan kusini ameambukizwa ugonjwa tandavu wa Korona.Imethibitishwa pia mke wake,Angelina Teny,pia amepatikana na ugonjwa huu hatari. Dkt.Machar alithibitisha habari hizi alipokuwa akizungumza kwenye mazungumzo ya kitelevisheni siku ya Jumatatu.Amesema kuwa wako kwenye karantini katika nyumba yao. Inadaiwa pia wafanyakazi wa makamu huyo wa rais ikiwemo walinzi wameambukizwa Korona.Hii ni baada ya kutagusana na baadhi ya watu kwenye jopo lililoteuliwa kutafuta mbinu za kupiga vita Korona nchini humo. Ikumbukwe kuwa Sudan kusini ina watu mia mbili tisini walioambukizwa kufikia sasa. Aidha, Sudan kusini ndio nchi… Read more Riek Machar Apatikana na Korona.