Matawi Ya Isimu.

Isimu-ubongo– ni tawi la isimu linalochunguza mahusiano kati ya lugha na michakato ya kiakili (ubongo), uzalishaji wa matamshi katika ujifunzaji wa lugha. Msingi mkubwa katika tawi hili la isimu ni kuwa mchakato wa uzungumzaji huanzia katika akili ya mtu. Hivyo mwanaisimu ubongo hujaribu kutafitina kueleza ni nini hasa kinatokea katika ubongo ambacho kinamwezesha mwanadamu kuzungumza.Continue reading “Matawi Ya Isimu.”

Matawi Ya Isimu.

Isimu-ubongo– ni tawi la isimu linalochunguza mahusiano kati ya lugha namichakato ya kiakili (ubongo), uzalishaji wa matamshi katika ujifunzaji wa lugha.Msingi mkubwa katika tawi hili la isimu ni kuwa mchakato wa uzungumzajihuanzia katika akili ya mtu. Hivyo mwanaisimu ubongo hujaribu kutafitina kuelezani nini hasa kinatokea katika ubongo ambacho kinamwezesha mwanadamukuzungumza. Pia hutafiti na kueleza matatizoContinue reading “Matawi Ya Isimu.”

Isimujamii.

Isimujamii– ni tawi la isimu (elimu ya lugha) linalochunguza namna lugha inavyotumika katika jamii na uhusiano baina yake. Tawi hili huzingatia matumizi ya lugha katika mazingira tofauti; aina mbali mbali za lugha na mazingira yake; uhusiano kati ya lugha na utamaduni wa jamii inayoitumia. Istilahi za isimujamii Isimu – ni mtalaa ambao huchunguza, huchanganua naContinue reading “Isimujamii.”

Matumizi Ya Lugha.

Matumizi ya lugha ni namna ambavyo wazungumzaji wa lugha hutumia lugha kwa kuzingatia mila, desturi na kaida mbalimbali za jamii inayohusika. Katika mada hii utajifunza mambo ya msingi ya kuzingatia unapotumia lugha. Utaelewa dhana mbalimbali zinazohusishwa na matumizi ya lugha kama vile rejesta, misimu, utatata katika lugha, lugha ya mazungumzo na lugha ya maandishi. MatumiziContinue reading “Matumizi Ya Lugha.”

Istilahi za isimujamii.

Kuna misamiati mbalimbali inayotumika katika isimujamii kama zifuatazo. Sajili-Hii ni muktadha mbalimbali au mitindo maalum ya lugha inayotumika katika mazingira mbalimbali. Lafudhi-Hii ni upekee wa mtu katika kutumia lugha maalumu. Lahaja-Hivi ni lugha ndogondogo zinazochipuka kutoka lugha moja kuu.K.m Kiswahili kina lahaja nyingi kama vile kiamu,kimtangata,kipate, ngozi n.k Lingua Franka-Hii ni lugha inayoteuliwa miongoni mwaContinue reading “Istilahi za isimujamii.”

EmmatheMadeupMom

Mindfulness. Mental Health. Motherhood.

Lead Me The Way

Inspiring. Encouraging. Empowering.

Dr. Eric Perry

Psychology to Motivate | Inspire | Uplift

TIMU MAFANIKIO

Japhet Simon

swahilimax

blogu hii inahusu mawanda mapana ya maswala ibuka katika lugha ya Kiswahili na fani zake. Kimsingi, swahilimax hushughulikia mchipuko wa mambo muhimu kwa utendeti , tafsiri za istilahi zinazotumika katika maisha ya kila siku kwenye vyombo vya habari, kanisani, nyumbani, sokoni na kwenye taasisi za elimu.

swahilimedia

Siasa,Michezo,Burudani,Udaku,Muziki na Video Mpya kwa Lugha ya kiswahili

ASHIKI WA KISWAHILI

Ashiki wa Kiswahili

Info - Kenya

Kenya, Tanzania, Burundi, Rwanda, Uganda, Love, mapenzi, Afya, Mazoezi ya mwili, Pesa, Elimu, Christianity, Ukristo, Money, Sleep, Fitness, politics, Biashara,health, Kiswahili, lugha, english, Sheng, Nairobi, Dar el salaam

WordAds

High quality ads for WordPress

MBUKUZI

House of informations

kiswahiliashirafu

Uhondo wa lugha ya Kiswahili

Discover

A daily selection of the best content published on WordPress, collected for you by humans who love to read.

The Atavist Magazine

Uhondo wa lugha ya Kiswahili

Longreads

The best longform stories on the web

The WordPress.com Blog

The latest news on WordPress.com and the WordPress community.