Skip to content

Category: Fasihi

Sifa Za Mhakiki.

Mhakiki huwa na sifa zifuatazo: Anatakiwa asikuwe mpondaji wa kazi ya watu wengine; asichukue au kusifia tu kazi za waandishi kwa sababu zake binafsi bila ya kuzingatia ukweli wa kazi hiyo. Mhakiki anastahiki awe amesoma kazi mbalimbali za fasihi na sio tu ile anayoifanyia uhakiki ili awe na ujuzi zaidi katika uwanja wa uhakiki. Mhakiki anatakiwa asome tahakiki za wahakiki wengine katika uwanja wa fasihi hata nje ya jamii ili kupata upanuzi zaidi katika kazi ya uhakiki. Mhakiki anastahiki aelewe historia na siasa ya jamii inayohusika.Hili litamwezesha kuelewa matatizo ya… Read more Sifa Za Mhakiki.