Mashairi kuhusu Korona.

Navalia barakoa,sokoni mie niende.Yeye aliyoifua,safii bila ya mende.Nilikuwa ‘mevalia,alipoifua SindeKorona mharibifu,ni lini utaondoka? Madukani nifikapo,mita mbili wa’nekana.Madukani wakaapo, usoni zaonekana.Watu wote waendapo, barokoa waziona.Korona mharibifu, ni lini utaondoka? Unawadia wakati, kafiu hili kuanza.Waondolewa kwa viti, karibuni litaanza.Naye kukalia siti,taka safari kianza.Korona mharibifu,ni lini utaondoka? Askari nao waja,bila hata kukawia.Saa moja imekuja,wakati wa kuishia.Wengi awa niContinue reading “Mashairi kuhusu Korona.”

Jinsi baadhi ya nchi zinavyojitahidi kukabiliana na mabadiliko ya tabia-nchi.

Nchi tofauti duniani zinaendelea kuweka mikakati bomba ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia-nchi ambayo imeathiri sekta mbalimbali hivyo kuchangia kudorora kwa uchumi na mazingira. Baadhi ya mikakati ni pamoja na upanzi wa miti, uhamasishaji wa umma kuhusu umuhimu wa mazingira safi, kuhimiza watu kukuza mimea kwa kutumia mbolea zinazotokana na wanyama n.k Nchini Kenya,Rais UhuruContinue reading “Jinsi baadhi ya nchi zinavyojitahidi kukabiliana na mabadiliko ya tabia-nchi.”

Mabadiliko Ya Tabia-nchi: Upanzi wa miti.

Miti ina umuhimu mkubwa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia-nchi.Karne ya ishirini na moja imeshuhudia uharibifu mkubwa wa mazingira.Binadamu anazidi kukata miti ovyo bila mpangilio mwafaka na kugeuza misitu makazi yake.Kwenye rubaa za kimataifa tumeona mwaka huu misitu mikubwa ambayo ni vyanzo vya maji duniani vikichomwa na hatua madhubuti kukosa kuchukuliwa.Mfano mzuri ni msitu waContinue reading “Mabadiliko Ya Tabia-nchi: Upanzi wa miti.”

Historia Ya Mwendazake Prof.Ken Walibora.

Marehemu Ken Walibora Waliaula alizaliwa kati ya mwaka 1964 na 1965,januari sita katika eneo LA Baraki kaunti ya Bungoma kama kitinda mimba.Yeye pamoja na familia yake walihamia eneo la Cherenganyi,kitale,Kaunti ya Tans nzoia.Katika umri wa miaka sita,Walibora aligundua kuwa na majina mawili,Kennedy na George ila akalichagua Kennedy kutokana na umaarufu wa rais wa Marekani wakatiContinue reading “Historia Ya Mwendazake Prof.Ken Walibora.”

Jinsi mabadiliko ya tabia-nchi imeathiri Kilimo.

Mabadiliko ya tabia-nchi yameathiri pakubwa sekta ya kilimo na inatabiriwa kuwa kutaathiri utoshelezi wa vyakula siku za halafu.Utoshelezi wa vyakula duniani unategemea uzalishaji wa vyakula vyenyewe pamoja na upatikanaji wazo.Mabadiliko haya yataathiri utoshelezi wa vyakula madhali bei ya vyakula itakuwa ghali hivyo kuathiri upatikanaji wa vyakula.Maji yanayohitajika katika uzalishaji wa vyakula yatakuwa kidogo sana kwaContinue reading “Jinsi mabadiliko ya tabia-nchi imeathiri Kilimo.”

Athari za mabadiliko ya tabia-nchi.

Mabadiliko ya tabia-nchi imeathiri pakubwa mazingira na binadamu kwa ujumla.Kupanda kwa halijoto duniani kumechangiwa na ongezeko la mkusanyiko wa gesi za kivungulio na kutosawazishwa kwa nishati za duniani.Baadhi ya athari ya mabadiliko ya tabia-nchi za moja kwa moja ni kama vile: Kupanda kwa halijoto Kupanda kwa usawa wa bahari Kushuka kwa barafuto Kubomoka kwa kiboreshajiContinue reading “Athari za mabadiliko ya tabia-nchi.”

Riek Machar Apatikana na Korona.

Makamu wa rais wa kwanza wa Sudan kusini ameambukizwa ugonjwa tandavu wa Korona.Imethibitishwa pia mke wake,Angelina Teny,pia amepatikana na ugonjwa huu hatari. Dkt.Machar alithibitisha habari hizi alipokuwa akizungumza kwenye mazungumzo ya kitelevisheni siku ya Jumatatu.Amesema kuwa wako kwenye karantini katika nyumba yao. Inadaiwa pia wafanyakazi wa makamu huyo wa rais ikiwemo walinzi wameambukizwa Korona.Hii niContinue reading “Riek Machar Apatikana na Korona.”

Mabadiliko Ya Tabia-nchi.

Mabadiliko ya tabia-nchi ni janga la kimataifa ambalo limeathiri maisha ya watu kwenye jamii kiujumla hasa wale wanaoishi mijini.Kupanda kwa nyuzi za joto duniani kumechangia majanga mengine mathalan gharika,ukame n.kHaya mabadiliko yametokana matumizi ya gesi zenye sumu ambayo huachiliwa hewani bila mpango maalum.Athari zake zimedhihirika waziwazi kupitia kuharibika kwa miundomsingi mijini kama vile barabara, sektaContinue reading “Mabadiliko Ya Tabia-nchi.”

Félicien Kabuga Akamatwa.

Mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, Félicien Kabuga,amekatwa kwenye eneo la Asnières sur Seine ambao ipo kwenye viunga vya mji mkuu,Paris,Ufaransa.Mshukiwa huyu anatuhumiwa kushirikiana na wengine kuwaua takriban watu elfu mia nane wa jamii ya Tutsi mwaka wa 1994.Inadaiwa kuwa ndiye aliyefadhili mauaji ya watu hao kwa kuwalipa watu fulani.Amepatikana baada ya miaka karibuContinue reading “Félicien Kabuga Akamatwa.”

Chimbuko la Korona.

Suala la ni wapi ugonjwa tandavu wa Korona ulikotokea bado haiyumkiniki kwani limezua mjadala mpevu ulimwenguni kote.Tetesi ziliibuka kwamba huenda virusi hivi hatari vya Korona vilitokea katika maabara moja ya kufanyia utafiti kwenye mji wa Wuhan,China.Haibainiki ni vipi kwani inadaiwa kuwa huenda ilisababishwa na utepetevu wa wa watafiti au ilikuwa tu ajali ya kawaida.Isitoshe,taarifa nyingineContinue reading “Chimbuko la Korona.”