Mashairi ya Kiswahili.

………… MWALIMU NAANGAMIA ………. mwalimu ninalilia, machozi yatiririka Serikali saidia, mwalimu ninateseka Nani atanikwamua, majanga yameniteka Mwalimu naangamia, sina kazi wala mlo Mbona ninasahaulika, mwelekezi wa shuleni Bunge sijatambulika, wakiwepo kikaoni Wabunge mnanizika, ninaenda kaburini Mwalimu naangamia, sina kazi wala mlo Tufanyapo mtihani, mwalimu ninasifika Nizamapo taabuni, jamii inanizika Niende wapi jamani, nchi imenigeuka MwalimuContinue reading “Mashairi ya Kiswahili.”

Dhana ya silabi.

Jumanne, (2014) Silabi ni kipashio cha kifonolojia kinachohusu matamshi ambacho kwacho sauti za lugha hutamkwa mara moja na kwa pamoja kama fungu moja la sauti. Feng Shengli, (2003) Silabi ni mpangilio wa fungu la sauti za kutamkwa. David Crystal, (2003) Silabi ni sauti moja au zaidi inayowakilisha kifungu kimoja cha sauti katika lugha. Massamba naContinue reading “Dhana ya silabi.”

Siku ya mazingira duniani.

Siku ya mazingira duniani huadhimishwa kila mwaka juni 7 ili kuangazia hatua ambayo jamii ya kimataifa imepiga kutunza mazingira.Chakula tunayokula,maji tunayoyanywa,hewa tunayopumua na mengine mengi yanatoka kwenye mandhari yetu.Mwaka huu wa 2020 tunaangazia hatua madhubuti dhidi ya uchafuzi wa mazingira kwani mandhari yetu yashaanza kutupa ujumbe kuwa tusipohadhari tutaangamia.Ili kujilinda lazima kwa vyovyote vile tulindeContinue reading “Siku ya mazingira duniani.”

Dhana Ya Fasihi.

Fasihi kwa ujumla wake ni sanaa ya kutumia lugha ili kuwakilisha wazo fulani kwa hadhira kusudiwa. Hivyo tunaposema kuwa fasihi ni sanaa ya lugha inamaana kuwa fasihi huipamba lugha ya kawaida kuonekana isiyo ya kawaida ili kuwavutia watu na kuwakosha kihisia (Samweli, 2015). Fasihi imegawanyika katika tanzu kuu mbili, ambazo ni fasihi simulizi na fasihiContinue reading “Dhana Ya Fasihi.”

Mashairi kuhusu Korona.

Navalia barakoa,sokoni mie niende.Yeye aliyoifua,safii bila ya mende.Nilikuwa ‘mevalia,alipoifua SindeKorona mharibifu,ni lini utaondoka? Madukani nifikapo,mita mbili wa’nekana.Madukani wakaapo, usoni zaonekana.Watu wote waendapo, barokoa waziona.Korona mharibifu, ni lini utaondoka? Unawadia wakati, kafiu hili kuanza.Waondolewa kwa viti, karibuni litaanza.Naye kukalia siti,taka safari kianza.Korona mharibifu,ni lini utaondoka? Askari nao waja,bila hata kukawia.Saa moja imekuja,wakati wa kuishia.Wengi awa niContinue reading “Mashairi kuhusu Korona.”

Jinsi baadhi ya nchi zinavyojitahidi kukabiliana na mabadiliko ya tabia-nchi.

Nchi tofauti duniani zinaendelea kuweka mikakati bomba ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia-nchi ambayo imeathiri sekta mbalimbali hivyo kuchangia kudorora kwa uchumi na mazingira. Baadhi ya mikakati ni pamoja na upanzi wa miti, uhamasishaji wa umma kuhusu umuhimu wa mazingira safi, kuhimiza watu kukuza mimea kwa kutumia mbolea zinazotokana na wanyama n.k Nchini Kenya,Rais UhuruContinue reading “Jinsi baadhi ya nchi zinavyojitahidi kukabiliana na mabadiliko ya tabia-nchi.”

Mabadiliko Ya Tabia-nchi: Upanzi wa miti.

Miti ina umuhimu mkubwa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia-nchi.Karne ya ishirini na moja imeshuhudia uharibifu mkubwa wa mazingira.Binadamu anazidi kukata miti ovyo bila mpangilio mwafaka na kugeuza misitu makazi yake.Kwenye rubaa za kimataifa tumeona mwaka huu misitu mikubwa ambayo ni vyanzo vya maji duniani vikichomwa na hatua madhubuti kukosa kuchukuliwa.Mfano mzuri ni msitu waContinue reading “Mabadiliko Ya Tabia-nchi: Upanzi wa miti.”

Historia Ya Mwendazake Prof.Ken Walibora.

Marehemu Ken Walibora Waliaula alizaliwa kati ya mwaka 1964 na 1965,januari sita katika eneo LA Baraki kaunti ya Bungoma kama kitinda mimba.Yeye pamoja na familia yake walihamia eneo la Cherenganyi,kitale,Kaunti ya Tans nzoia.Katika umri wa miaka sita,Walibora aligundua kuwa na majina mawili,Kennedy na George ila akalichagua Kennedy kutokana na umaarufu wa rais wa Marekani wakatiContinue reading “Historia Ya Mwendazake Prof.Ken Walibora.”

Jinsi mabadiliko ya tabia-nchi imeathiri Kilimo.

Mabadiliko ya tabia-nchi yameathiri pakubwa sekta ya kilimo na inatabiriwa kuwa kutaathiri utoshelezi wa vyakula siku za halafu.Utoshelezi wa vyakula duniani unategemea uzalishaji wa vyakula vyenyewe pamoja na upatikanaji wazo.Mabadiliko haya yataathiri utoshelezi wa vyakula madhali bei ya vyakula itakuwa ghali hivyo kuathiri upatikanaji wa vyakula.Maji yanayohitajika katika uzalishaji wa vyakula yatakuwa kidogo sana kwaContinue reading “Jinsi mabadiliko ya tabia-nchi imeathiri Kilimo.”

Athari za mabadiliko ya tabia-nchi.

Mabadiliko ya tabia-nchi imeathiri pakubwa mazingira na binadamu kwa ujumla.Kupanda kwa halijoto duniani kumechangiwa na ongezeko la mkusanyiko wa gesi za kivungulio na kutosawazishwa kwa nishati za duniani.Baadhi ya athari ya mabadiliko ya tabia-nchi za moja kwa moja ni kama vile: Kupanda kwa halijoto Kupanda kwa usawa wa bahari Kushuka kwa barafuto Kubomoka kwa kiboreshajiContinue reading “Athari za mabadiliko ya tabia-nchi.”