FASIHI.

Fasihi ni sanaa iwe ya uandishi au mdomo inayowasilisha ujumbe unaolenga maisha ya binadamu Kiufundi kwa kutumia mbinu anuwai za lugha.Hueleza hisia za mtu kwa kutumia vielelezo vyenye dhana maalum. 1.Fasihi ni sanaa kwa kuwa matukio hupangwa kiufundi ili yaweze kuwasilishwa vema kwa jamii husika. 2.Usanaa wa fasihi pia hujidhihirisha katika jinsi mambo yanavyoelezwa.Kuna ufundiContinue reading “FASIHI.”

Ushairi.

Huu ni sanaa inayopambanuliwa kwa mpangilio maalum fasaha na yenye muwala kwa lugha ya mkato,sitiari, picha au ishara katika maandishi, usemi au mahadhi ya wimbo ili kueleza tukio au mawazo. Vitu vivanyounda ushairi katika kiswahili ni kama yafuatayo: 1.Takriri-hii ni mbinu ya kurudia jambo kwa madhumuni fulani.Vina na urari wa mizani ni aina ya takriri.Aidha,Continue reading “Ushairi.”

Sifa kuu Bainifu za Lugha za Wanadamu.

Sifa zinazotofautisha lugha ya mwanadamu na mfumo wa mawasiliano wa wanyama ni:Unasifu,utabaka,uhamisho na uzalishaji. Unasibu katika lugha ya mwanadamu ni ile hali ambapo sauti fulani zinawakilisha maana fulani katika jamii.Hata zile sauti zinazoingiza mlio wa Sauti nazo pia hukaribia tu ile sauti halisi inayowakilisha (onomatopea). Mengi ya maneno ni sehemu tu ya sauti inayotumika kamaContinue reading “Sifa kuu Bainifu za Lugha za Wanadamu.”

Misamiati inayochipuka

1.Generator-kangavuke 2.Greenhouse-Kivungulio 3.Facebook-kitandazi 4.Napiergrass-mabingobingu 5.What’s Up-kunani 6.Herbivores-chelemea 6.Carnivores-mlawangi 7.DNA-msimbojeni 8.Marching-Mwendo-sanjari 9.Icecream-Barafumalai 9.Topcream-utando wa malai 10.Powersaw-msumeno-oto 11.Money laundering-Utakatishaji wa fedha 12.Missed call-simu futu 13.Eardrum-Komangu 14.Intensive care unit-Sadaruki 15.Toothpick-kichokonoa

Tafsiri Za Maneno Katika Kiswahili.

1.Generator-Kangavuke 2.Greenhouse-Kivungulio 3.Facebook-Kitandazi 4.Napiergrass-Mabingobingu 5.What’s Up-Kunani 6.Herbivores-Chelemea 6.Carnivores-Mlawangi 7.DNA-Msimbojeni 8.Marching-Mwendo-sanjari 9.Icecream-Barafumalai 9.Topcream-Utando wa malai 10.Powersaw-Msumeno-oto 11.Flashdisk-Kifyonzi/kinyonyi. 12.Winning goal-Dungu. 13.Internship-Mafunzo ya nyanjani. 14.Commentator-Mrasili. 15.Chlorophyll-Umbijani. 16.Keyboard-Kicharazio. 17.Password-Nywila. 18.Chips-Vibanzi. 19.Scanner-Mdaki. 20.Floppy disk-Diski tepetevu 21.Computer virus-Mtaliga. 22.Distillation-Ukenekaji. 23.Evaporation-Mvukizo. 24.Duplicating Machine-Kirudufu. 25.Sim Card-Kadiwia/Mkamimo. 26.ATM-Kiotomotela. 27.Business Card-Kadikazi. 28.Appetizers-Vihamuzi. 29.Memory Card-Kadi Sakima. 30.Scratch Card-Kadihela. 31.Photocopier-Kinukuzi. 32.Photocopier-Kiyoyozi.

Dhana Ya Fonetiki.

Hichi ni kiwango cha lugha kinachoshughulikia sauti za lugha ya mwanadamu kwa ujumla. Taaluma hii kuchunguza namna sauti anuwai ama za irabu au konsonanti hutamkwa kinywani mwa mwanadamu. Katika fonetiki, mwanaisimu huchunguza viungo vinayoshiriki katika utamkaji wa sauti yaani foni.Hujibu maswali yafuatayo: 1.Sauti za lugha ya mwanadamu ni ngapi na ni zipi?Sauti hizo ni nyingiContinue reading “Dhana Ya Fonetiki.”

Fonetiki.

Hichi ni kiwango cha lugha kinachoshughulikia sauti za lugha ya mwanadamu kwa ujumla. Taaluma hii kuchunguza namna sauti anuwai ama za irabu au konsonanti hutamkwa kinywani mwa mwanadamu. Katika fonetiki, mwanaisimu huchunguza viungo vinayoshiriki katika utamkaji wa sauti yaani foni.Hujibu maswali yafuatayo: 1.Sauti za lugha ya mwanadamu ni ngapi na ni zipi?Sauti hizo ni nyingiContinue reading “Fonetiki.”