admin
-
Ushairi
Kiwanda cha Mapenzi.
KIWANDA CHA MAPENZI 1 Mko wapi mko wapi,mutafutao ajira Fungeni yenu misipi, kazi ikawe imara Na manyakanga mkupi, mje kupata…
Read More » -
Uncategorized
Mbinu gani nitumie.
* Hamjambo waugwana,salamu zipokeeni Kuna swali la maana,naomba mnifaeni Mlishakuwa vijana,enzi zenu za zamani Hivi kumpata mke,mbinu gani nitumie? Mwenzenu…
Read More » -
Ushairi
Natamani.
NATAMANI Natamani, mwenzenu kuwa tajiri Natamani, mwenzenu bibi mzuri Natamani, mwenzenu mengi mazuri Natamani, mwenzenu kila la heri Natamani, mwenzenu…
Read More » -
Ushairi
Maneno.
MANENO Maneno yangawa moto, wangachomeka wangapi? Yangalikuwa ni mto, tungaliuvuka vipi? Yangalikuwa vibato, sura zingakuwa wapi? Tungalifata maneno, tusingalifanya yetu…
Read More » -
Mabadiliko ya tabia-nchi
Mabadiliko ya tabia-nchi ni tishio la usalama.
Katika siku za hivi karibuni,wito umetolewa wa kuwekwa kwa mikakati ya kukinga dunia dhidi ya mabadiliko ya tabia-nchi. Wanasiasa wakuu…
Read More » -
Ushairi
Mapenzi yamejaa upungufu.
Mapenzi sio kipofu, yana mato siku hizi Yanachagua minofu, hayavutwi kwa hirizi Yamejivisha jokofu, la usaliti na wizi Yamejaa upungufu,…
Read More » -
Ushairi
Nimeyapeza mapenzi.
NIMEYAPEZA MAPENZI 1 Kumbatio la mwandani Nilalapo mapajani Niwe juu yeye chini Nimeyapeza mapenzi 2 Kudeka anidekeze Siri nizimueleze Sauti…
Read More » -
Ushairi
Ulimi.
ULIMI Uchunge wako ulimi Ewe mja nakusia Kuwa makini na ndimi Utakuja kuumia usemayo mara kumi Kimya ungejikalia Ulimi hatari…
Read More » -
Ushairi
Nilipofikia.
NILIPOFIKIA Jamani salamu, nawasalimia Tena kwa nidhamu, zitawafikia Kisha ninudhumu, nilodhamiria Bora kunywa sumu, nilipofikia Maneno matamu, kwangu yanishia Leo…
Read More » -
Ushairi
Gimba.
GIMBA Gimba lisilo akili, huwa linaitwa gogo, Mambo yake mushkeli, huishia kwa kipigo, Halifanyi tasihili, mpaka lizuwe zogo, Dude hili…
Read More »