About

Dikodiko ni mwalimu tajika wa lugha ya Kiswahili.Amefunza katika shule nyingi na zinatia fora.Anaienzi lugha ashirafu ya Kiswahili.

Mtandao wa www.kiswahilishirafu.guru ulioasisiwa naye umewasaidia wanafunzi wengi kuboresha na kumilisi lugha.

Ujasiri ndio nguzo muhimu katika mafanikio-Brian Pasteur.

Usisome tu bali soma kusoma-Wallah Bin Wallah.


Let’s build something together.


Back to top button
Close
Close